"Chama cha Kitaifa cha Wajenga Misuli (KBBF) kimepigwa jeki baada ya kutambuliwa na baraza la michezo nchini, KNSC ... Viongozi wa muda waliteuliwa kukiongoza hadi mwaka ujao ambapo uchaguzi was kitaifa utafanyika."
Article by Osborne Manyengo (Taifa Leo 26th September, 2012)